Zaidi ya 80% au 90% ya investors wanaoinvest kwenye African Startups ni watu wa nje hasa WamareKani, moja ya kigezo chao kikubwa kwenye kampuni wanazotaka kuwekeza ni lazima nazo ziwe zimejisajili kama kampuni za Kimarekani kisha itajua yenyewe inataka kuoperate wapi.
s,zipi ni faida za startup kujisajili nje ya Tz while serving Tanzanian Market? Je kuna hasara zozote katika hilo? Zipi?
investors wanataka kampuni yako main iwe na HQ kisha utaamua kuoperate Africa au popote kama branch ya kampuni uliyosajili .Ukisajili investor akupangii kuoperate au kuishi ndio maana kusajili kampuni ni online(nipo ,sijawahi fika na nimesajili startup yangu)
Y-Combinator - moja ya accelerator kubwa duniani nao moja ya kigezo chao ni uwe na HQ , wakikuchagua halafu ulishajisajili Africa basi utaflip(utahamisha HQ zako from ulipojisajili To ), gharama za Kuflip huwa ni $5000+ ivyo unashauriwa kusajili mapema kuepuka kuflip later
Startup kubwa za Nigeria unazoziona kama Flutterwave,Paystack, Chippercash na zingine tunaziita Nigerian Startups lakini usajili wao ni nje ya Africa,wengi ni ; hivyo ni kampuni za ambazo zinaoperate Afrika kama Branch.Hata Startup kubwa za usajili wao ni nje ya Africa
Gharama za kujisajili ni $500 kisha kujisajili kama branch ya nchi unayotaka kuoperate gharama zinatofautiana. Mfano; ukijisajili kwa $500 ukija bongo brela wanacharge $1000+ kusajili kampuni yako ya nje kama branch hapa .
Wawekezaji wanadai lazima ujisajili because;
- Investment Thesis; moja ya kigezo chao cha uwekezaji ni kuwekeza kwenye kampuni za
- Unaepuka Double Taxation
- Politics hazitaathiri sana business yako
- Global Presence; ukiwa US company ni rahisi kuclose international deals
Ziko na sabau zinginezo but kwenye sekta ya Startup kusajili kampuni yako sehemu kama kuna faida ya kuclose dili za mamilioni ya dola, hasara ni chache sana; mfano sometimes Local organization inaweza andaa grant program afu ikasema ni special for only registered businesses
Most Global investors ukiwaambia haujajisajili wanaweza poteza hata hamu ya kuongea na wewe, sometimes ni bora wakukute haujajisajili kabisa hata nchini kwako kuliko wakute tayari una HQ in your local country.
Ukitazama jambo hili kuhusu hoja za Uzalendo zile utaona haimake sense but ndio vigezo vilivyopo.Jambo hili linaweza kuja kubadilika siku African investors wakiweza kuwa sehemu ya big funders wa African Startups but for now no way,tunafuata masharti ya watoa $(Global investors)
Faida nyingine ni kwamba nchi za Afrika zinasifika kwa kuwatreat vyema foreign investors/companies, si unaona mama anavyozunguka kusaka invesors waje bongo! ivyo ukiwa Foreign company afu ukaingia bongo wenda serikali sometimes ikakujali zaidi kwa kuhisi unamichuzi $$