HISTORIA NA VITUKO VYA BI KIDUDE
“Mie naimba kwa kutumia kichwa, si kifua au kubana pua aaa! Sifanyi kama hao wanaojiita waimba taarabu wa siku hizi, kwanza siku hizi hakuna taarabu. Mimi nina uwezo wa kuimba bila kutumia karatasi kwani bendi ya polisi...

#MuzikiNiMaisha